KERO Barabara ya Endasak mpaka Dareda ina mashimo mengi sana, ni hatari kwa watumiaji

KERO Barabara ya Endasak mpaka Dareda ina mashimo mengi sana, ni hatari kwa watumiaji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,103
Reaction score
9,588
Nilipita jana barabara hii, kipande cha kutoka Endasaki mpaka ufike Dareda Barabara Kuu ya Singida Babati, kwa kifupi ina mashimo mengi na makubwa sana jambo ammbalo ni hatari kwa watumiaji wa barabara hiyo hasa kwa madereva wageni na nyakati za usiku.

Mamlaka tatueni tatizo hilo, ni keri sasa ya muda mrefu
 
Mkuu siyo tu Endasak.. Ukitoka Kiteto kwenda Hapo Mrijo.. Juu na Chini mpaka Chemba... Hali ni mbaya sana kipindi hiki cha mvua..
 
Nilipita jana barabara hii, kipande cha kutoka Endasaki mpaka ufike Dareda Barabara Kuu ya Singida Babati, kwa kifupi ina mashimo mengi na makubwa sana jambo ammbalo ni hatari kwa watumiaji wa barabara hiyo hasa kwa madereva wageni na nyakati za usiku.

Mamlaka tatueni tatizo hilo, ni keri sasa ya muda mrefu
Umetaja Endasaki Moyo umepiga paaaa,
Nimekukumbuka Maalina Akway, mtoto nywele hadi chini ya t.ako, kiuno nyigu, huna gharama mtoto, ngozi yako ya Ki-iraq utadhani unaoga mafuta, coka na guiness umemaliza mtoto. Hanang' nitarudi!!
 
Jamani hii barabara ya Arusha to Singida kupanda cha Dareda to Singida ni mbovu kupita kiasi na inahatarisha hata usalama wa vyombo na abiria.

Tunaomba jamii forum mfikishe hiyo kero panapo husika tafadhali
 
Back
Top Bottom