UPDATE: MAY 2023
Hii thread ni ya tangu Mwaka 2014, miaka 9 iliyopita hadi leo 2023 barabara hali ni mbaya, pamoja na ahadi ya kuweka lami kipande hicho cha kilomita 21, ila hadi leo hakuna kilichofanyika, na hii ndio hali halisi wanayoishi wananchi wa Bumbuli.
Natoa rai kwa ndugu yetu makamba. Kabla hujafikiria kugombea uraisi wa Tanzania hakikisha kwanza hii barabara na matatizo mengine ya Bumbuli yamepatiwa ufumbuzi vinginevyo hata huo Ubunge hatukupi tena, haiingii akilini kutaka kuongoza nchi kama jimbo pekee limekushinda.
Yaani hili ni JIMBO JIPYA halina hata MIAKA 15; Lilianzishwa na Mzee Shelukindo; Sasa unataka liwe na kila kitu sababu tu MAKAMBA ni MBUNGE?
What a JOKE... inaonyesha ni baadhi ya sisi wananchi ndio tumechoka hatujui Maendeleo ni nini
c.c NOT FOUND
Mkuu nngu007
Sitaki kuamini kama uwezo wako wa kufikiria umefikia hapo, wewe unavyoona hiyo bara bara huoni kunahitajika kitu kifanyike? So kigezo chako ni miaka 15, real? :sad:

Basi kubalini mkiambiwa ccm imeshindwa kubadili maisha ya watanzania ili yaendane na wakati
Yaani hili ni JIMBO JIPYA halina hata MIAKA 15; Lilianzishwa na Mzee Shelukindo; Sasa unataka liwe na kila kitu sababu tu MAKAMBA ni MBUNGE?
What a JOKE... inaonyesha ni baadhi ya sisi wananchi ndio tumechoka hatujui Maendeleo ni nini
c.c NOT FOUND
Natoa rai kwa ndugu yetu makamba. Kabla hujafikiria kugombea uraisi wa Tanzania hakikisha kwanza hii barabara na matatizo mengine ya Bumbuli yamepatiwa ufumbuzi vinginevyo hata huo Ubunge hatukupi tena, haiingii akilini kutaka kuongoza nchi kama jimbo pekee limekushinda.
Mkapa alitatua matatizo yote Masasi? Alikuwa mbunge miaka mingapi?
Kikwete alitatua matatizo yote ya Chalinze na Bagamoyo? Alikuwa mbunge miaka mingapi?
Lowassa amemaliza shida zote za Monduli? Amekuwa mbunge miaka mingapi?
Pinda, Membe wote wamemaliza umaskini majimboni kwao na barabara zote safi?
Mbowe amemaliza shida zote za Hai? Au Dr Slaa amemaliza kero zote za Karatu?
Majimbo Mengi tena ya zamani yana issue kama hiyo sio tu BUMBULI ya MGOMBEA URAIS... Ndugu yetu NOT FOUND
Mkapa alitatua matatizo yote Masasi? Alikuwa mbunge miaka mingapi?
Kikwete alitatua matatizo yote ya Chalinze na Bagamoyo? Alikuwa mbunge miaka mingapi?
Lowassa amemaliza shida zote za Monduli? Amekuwa mbunge miaka mingapi?
Pinda, Membe wote wamemaliza umaskini majimboni kwao na barabara zote safi?
Mbowe amemaliza shida zote za Hai? Au Dr Slaa amemaliza kero zote za Karatu?
Badala ya kwenda kuwauliza TANROADS mnamuuliza January haya sasa ndio matatizo. Au labda tumezoea kufanya mambo bila ya taratibu si ndio hoja ya January hiyo.The Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is an Executive Agency under the Ministry of Works, established under section 3(1) of the Executive Agencies Act (Cap 245) and came into operation in July, 2000. The Agency is responsible for the maintenance and development of the trunk and regional road network in Tanzania Mainland
Classified Road Network
The total classified road network in Tanzania Mainland is estimated to be 86,472 km based on the Road Act 2007. The Ministry of Works through TANROADS is managing the National road network of about 33,891 km comprising 12,786 km of Trunk and 21,105 km of Regional roads. The remaining network of about 53,460 km of Urban, District and Feeder Roads is under the responsibility of the Prime Ministers Office Regional Administration and Local Government (PMO-RALG).
The National Road Network
The National Road Network consists of:
- Trunk roads 12,786 km out of which 5,130 km are paved and 7,656 km are unpaved.
- Regional Roads: 21,105 km out of which 840 km are paved and 20,265 km are unpaved.
http://www.tanroads.org/
kazi ya mwakilishi wa wananchi nini? Inamaana kila mwananchi aende tanroad kuuliza? Basi haina maana ya kuwa na mwakilishi Pambaf weweBadala ya kwenda kuwauliza TANROADS mnamuuliza January haya sasa ndio matatizo. Au labda tumezoea kufanya mambo bila ya taratibu si ndio hoja ya January hiyo.[/FONT][/COLOR]
[/LIST]