Barabara Ruangwa ni tatizo

mtzmweusi

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
8,640
8,966
Wakuu habari,

Nipo ziarani kuja jimbo la mheshimiwa waziri mkuu barabara ni tatizo na hadi naandika status hii tumekwama njiani .

Naomba serikali isaidie kujenga barabara katika jimbo hili kama nimeambiwa ni kama 60 tu gari imenasa kwenye tope kuna msururu wa magari sijui kama ntafanikiwa mana kesho natakiwa kurudi Dar.
 

Attachments

  • 1453292156962.jpg
    1453292156962.jpg
    42.3 KB · Views: 24
  • 1453292177138.jpg
    1453292177138.jpg
    47.3 KB · Views: 26
Back
Top Bottom