Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,096
Foleni zimerudi barabara mpya ya Mwenge-Tegeta.
Ni kadhia/ shida kuliko mwanzo kwani zinanzia Interchick au Jogoo asubuhi mapema.
Pengine Tanroads wangeharakisha ujenzi wa barabara mbadala za Goba na Madale. Pia ya Mwenge - Morocco
Vinginevyo manufaa ya barabara hii mpya hayataoneka.