pingu mkoka
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 434
- 112
Imefunguliwa mpaka ubungo?
Hata hivyo nitahama tu huku. Labda waweke maji.
Usihame mkuu,maji yamefika kimara,yatafika tu mbezi vumilia kodi iishe.
Mkuu sijapanga!! But niko radhi kupangisha nyumba manake Mbezi ina kero nyingi achilia mbali foleni. Maji, barabara mbovu.... mambo yanaendeshwa ki chama chama tuuu.
picha?
kwa kweli me mwenyewe mwaka hauishi huu,..ntahama mana dah
kweli pingu mkoka hata usipige picha na kasimu ka mchina kwani habari haijakamilika juzi KATI ilikuwa kuingia au kutoka Ubungo Terminal ni Masaa ma2 kwa basi hadi KimaraPicha yanini,huijui barabara?
hehehe,tena ukute next doorKumbe na wewe jirani?
hahahahaha.
Kama unafika Mbezi Mwisho, then ni jirani.hehehe,tena ukute next door
kwa hiyo nitabaki peke yangu mbezi maana wana jf wote mnahama