Mungu hajaribiwi wala hadhihakiwi kama kweli ningekuwa na fedha ningelijenga daraja jipya kwa ajili sina fedha na nili lazimika kuweka mradi eneo ambalo siyo inabidi haya yanayo tokea yatokee. Haina shida ni upepo tu nao utapitaMarch 19, 2020
Dar es Salaam, Tanzania.
Barabara Jangwani jijini Dar es Salaam Tanzania yajaa maji, yafungwa. Ingawa mvua haijanyesha leo lakini eneo hilo lililo katika ya vitongoji maarufu vya Magomeni na Kariakoo jijini Dar es Salaam hali imekuwa tete ktk bonde hilo la Jangwani.
Source : ITV Tanzania
Kwi! Kwi! Kwi!March 19, 2020

Bado wanafanya upembuzi yakinifu[emoji23][emoji23][emoji23]Lile daraja la mita 150 limeishia wapi wadau?
Kuna mtu anadiriki kuwaita wenzake wapumbavu wakati na yeye alijenga majengo kwenye mkondo wa mtoMarch 19, 2020
Dar es Salaam, Tanzania.
Barabara Jangwani jijini Dar es Salaam Tanzania yajaa maji, yafungwa. Ingawa mvua haijanyesha leo lakini eneo hilo lililo katika ya vitongoji maarufu vya Magomeni na Kariakoo jijini Dar es Salaam hali imekuwa tete ktk bonde hilo la Jangwani.
Source : ITV Tanzania
Shithole engineers. Hakuna serious engineer ktk nchi hii. Mimi naweza kushauri Jangwani pajengweje japo sio engineer. Ma engineer gani mara barabara yenye umuhimu kama Dom DarMainjia watakua wapumbavu labda
ila sometime akili za viongozi wetu zinachanganya sana,hivi kuna umihimu gani wa daraja la ubungo halafu barabara ya jangwani ni tatizo?March 19, 2020
Dar es Salaam, Tanzania.
Barabara Jangwani jijini Dar es Salaam Tanzania yajaa maji, yafungwa. Ingawa mvua haijanyesha leo lakini eneo hilo lililo katika ya vitongoji maarufu vya Magomeni na Kariakoo jijini Dar es Salaam hali imekuwa tete ktk bonde hilo la Jangwani.
Source : ITV Tanzania
Tuko katika ulimwengu wa kidigitali, ofisi sio hitaji la msingiHawa Lumumba ni kama sie tu!
Tunajimwambafy kwa jerojero na mia mbili mbili za misukule wakati chama kinalamba mamilioni ya ruzuku kila mwezi hata kaofisi hatujajenga.
Kwa hiyo hayo mamilioni yanalipia bundle au yanaliwa na nani?Tuko katika ulimwengu wa kidigitali, ofisi sio hitaji la msingi
Kamuulize polepole nani aliiba 1.5trn za ummaKwa hiyo hayo mamilioni yanalipia bundle au yanaliwa na nani?
Maana mikutano yenyewe hakuna.
Una maana na ruzuku zetu zinapigwa kama maccm tu?Kamuulize polepole nani aliiba 1.5trn za umma