Yaani hapo tupeleke viboko na mamba liwe bwawa lataifa tukatalii tusipate tabu ya kwenda ruhaa.
Jana Mvua imenyesha Sana Maeneo ya Kibaha.March 19, 2020
Dar es Salaam, Tanzania.
Barabara Jangwani jijini Dar es Salaam Tanzania yajaa maji, yafungwa. Ingawa mvua haijanyesha leo lakini eneo hilo lililo katika ya vitongoji maarufu vya Magomeni na Kariakoo jijini Dar es Salaam hali imekuwa tete ktk bonde hilo la Jangwani.
Source : ITV Tanzania
Tunanunua midege,tunajenga sgr ka majigambo huku tunashindwa kudhibiti mafuriko katikati ya jiji kuu la nchi yetu. Bora ukose mali upate akiliMarch 19, 2020
Dar es Salaam, Tanzania.
Barabara Jangwani jijini Dar es Salaam Tanzania yajaa maji, yafungwa. Ingawa mvua haijanyesha leo lakini eneo hilo lililo katika ya vitongoji maarufu vya Magomeni na Kariakoo jijini Dar es Salaam hali imekuwa tete ktk bonde hilo la Jangwani.
Source : ITV Tanzania
March 19, 2020

Na liingize pesa ya kutosha. [emoji4][emoji4]Yaani hapo tupeleke viboko na mamba liwe bwawa lataifa tukatalii tusipate tabu ya kwenda ruhaa.
Yupo ikulu anatumbua wenzie kwa kufanya kazi vibayaHivi Waziri wa ujenzi kipindi hapo panajengwa alisha staafu?
In God we Trust
Ushauri mzuri kwa mzee wa nzega
In God we Trust
Hawa Lumumba ni kama sie tu!Tunanunua midege,tunajenga sgr ka majigambo huku tunashindwa kudhibiti mafuriko katikati ya jiji kuu la nchi yetu. Bora ukose mali upate akili
Kuna kampuni ya ujenzi inayosafisha pale, naona ni msimu wao wa kuneemeka.kuna watu wananufaika na yale mafuriko nini??