Bar ya Kitambaa Cheupe wekeni limit ya watu, ni wengi mno

Nshukuru Mungu nowdays sina mzuka na maeneo hayo , sijawahi kuingiza na sitegemei kwenda .
Mimi siku hizi nakunywaga maeneo ya Jirani na ninayoishi na kwenye bars ambazo hazipigi mziki hadi hamuwezi kuongea.
Thanks God siishi Sinza.
Jamani kama unaishi kwenye nyumba ya kupanga epuka kupanga maeneo ya sinza ,Tabata buguruni au mbagala Kwa sasa ni maeneo hatarishi kulea familia bora
 
Kwa muda mrefu sinza ilikua imelala. Ujio wa kitamba cheupe sinza umeamsha starehe maeneo ya town “sinza,mwenge”.

Kitambaa cheupe ya sinza inauza jina baada ya ile ya tabata kuweka heshima
Baada ya Ambiance, Boardroom na La Chaaz kupoteana sasa Kitambaa Cheupe imeteka soko ukanda wa Sinza na Mwenge

Waliokuwa wadau wa maeneo hayo wote wamehamia Kitambaa Cheupe
 
79bf3e71-78a5-4a41-8704-863531344792.jpg
 
Nataka kuenda safari tanzania bar ya kitambaa cheupe .Iko mkoa gani wa tanzania nini kizuri huko.Ni danguro?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom