Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,550
- 729,430
Ni sehemu wanapokutanika wabaya na wema
Wachawi na watakatifu
Wapiga dili na wenye kazi za halali
Wabangaizaji na watu wa mishemishe
Vikao mbalimbali na hata makongamano yenye tija
Masela changudoa nk wote makutano yao ni bar kama sio ghetto
Ndio maana bar kuna paka wa kila aina nao wana categories zao....!!! Usimuone paka wa bar anakula viazi mkaango vyenye kachumbari na tamato au mboga mboga ukadhani ni paka wa kawaida....UMELIWA