Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,327
- 24,209
Primitive or not, facts will remain to be facts.This is a primitive argument !!
I thought, kabla hujatoa hitimisho la namna hii, ungeenda mbele na kurudi nyuma na ujiulize ni kwa nini mabinti (hata wako aweza jikuta ameingia shida hii) hupata mimba wakiwa shule ama ktk umri mdogo wa kupaswa kuwa shuleni ?
Na usiishie hapo, jiulize zaidi na zaidi, kwamba, nini jukumu la wazazi, jamii na serikali kwa ujumla ktk kuzuia hili ? Wanatekeleza wajibu wao au ndiyo kina ninyi hawa wenye majibu rahisi ktk mambo ambayo unapaswa kukuna bongo ?
Yaani, ndugu Jidu La Mambambasi akili na ufahamu wako hauna tofauti na mwenye chanzo cha kauli hii ambayo ndiyo msingi wa mjadala huu.... ndugu yako Rais J. P. Magufuli !!
Mimi nadhani tukubali tu, kuwa, Mr. President alichemka kwani wakati mwingine ukimya ni busara zaidi kuliko kupayuka hovyo bila kuwa na uhakika unachopayukia...
Sasa ona anavyokuwa exposéd....pure ignorance !!
Na sina hakika kama anatambua hata sheria za ndani ya nchi yake mwenyewe na zile za kimataifa ambazo sisi kama taifa tumeziridhia, zinasemaje kuhusu jambo hili !! ....Na ninyi ignorantly, mnaunga tela kwa nyuma eti kwa sbb Rais kasema !!
Ni yaleyale kama ya Makinikia na ishu ile ya wanafunzi wa UDOM ambao sijui ilikuwa kwa kutojua ama kwa makusudi aliishia kutukana watu wake kwa kuwaita "vilaza" kitu ambacho hata angekutumia lugha ya kawaida tu, angeeleweka na kile akitakacho kikafanyika...!!!
Tatizo wengi wenu think up to only half of the problem, get qick fix solutions, and shove them to the taxpayer, and expect all will be fine!
Mimba za watoto zipo, na hilo ni social problem ambapo sheria zipo kulikabili.
Hata hivyo ni tatizo lisilikubalika kijamii.
Na jamii hasa wazazi wamelegalega katika hili.
Ndiyo, kuna rape, na kuna njia kisheria ku redress hilo.
Jamii yetu ikilegea tu, na kukubaliana enmass mimba za utotoni, shule za mabinti zitageuka maternity wards.
Kijana gani aliyebalehe asiyependa kujijaribu sexually?
Its part of growing up, lakini red lines must be drawn.
Kwa tone ya argument yako you are anti Mgufuli, thats your problem.
Lakini kama una mabinti, nawe wafukuzia noti 24/7 usitegemee kodi zetu zikulindie, zisomeshe wako hata wakipata mimba, kwani uliwazaa wa nini kama huwezi kutunza watoto?
And when you think that through ,THAT IS PRIMITIVE.