BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,006
- Thread starter
- #21
Soma hii article ili uelewe kilichoandikwa kuhusu sheria za Tanzania na za kimataifa ambazo Tanzania imezisaini.
Sheria ipi ya mwaka gani?......nacho jua kuna sheria inakataza wajawazito kurudi shuleni nipe muda nikupekulie kwenye makabrasha, ila kinachonishangaza ni kwamba rais ame kazia tu ila tangu awali hatujawahi kuwa na darasa lililochangamana na waja wazito.....naomba sheria iliyopindishwa na mimi nikuletee sheria inayopiga marufuku waja wazito kuendelea na masomo kwenye shule za SERIKALI.