Young Master
.
Thanks for you're feedback kaka
.
Lakini black hat huyu huyu awe na kiasi chote hicho cha ip .
.
Afu iwe kama uki i ban Ip yake fulan atumiE nyingine...
.
Hacker yeyote duniani hawezi kufanya hivyo.. Akiwa anajua uki ipata real Ip address moja tu inatosha sana kumkamata..
.
BTW Nothing more than VPN...
.
Ni hatari sana mtu anapo host site na Cpanel..
Kwanza kabisa admin mwenyewe.... Anaweza akatumia weak password hacker aka guess
.
Na hata akitumia strong password vipi basi hacker anaweza kum backtrack na trojans e.tc na pia hizi keyloggers pia
.
Ikishindikana kabisa basi hacker ata anzia kwenye email ya admin akiweza kui hack email tu basi ataingia kule anako host site na kujifanya kasahau password.... Waki m retreave tu na link basi huyo mdogo mdogo anaingia kwenye admin page...
.
Basi hapo users wote watakuwa kwenye :shetani:
.
Aisee! Kweli heshimu taaluma za wenzako!
Yaani hakuna nilichookota hapa!!
Nimetokea kuichukia sana cPanel ingawa ni rahisi kutumia. Nimejaribu kutumia host tofauti tofauti na sasa natumia DreamHost na nimeipenda sana WebPanel yao ingawa kwa mara ya kwanza inaonekana complicated.
Mkuu naomba ufafanuzi wa kitaalam kwa nini unaona ni hatari kuhost site na Cpanel? Ninavyofahamu mimi Cpanel ni tools tu ya kukurahisishia kazi. Nilihost na monster.com halafu nyingine na godaddy.com na wote wanatumia Cpanel..
Ni hatari sana mtu anapo host site na Cpanel..
Kwanza kabisa admin mwenyewe.... Anaweza akatumia weak password hacker aka guess
.
Na hata akitumia strong password vipi basi hacker anaweza kum backtrack na trojans e.tc na pia hizi keyloggers pia
.
Ikishindikana kabisa basi hacker ata anzia kwenye email ya admin akiweza kui hack email tu basi ataingia kule anako host site na kujifanya kasahau password.... Waki m retreave tu na link basi huyo mdogo mdogo anaingia kwenye admin page...
.
Basi hapo users wote watakuwa kwenye :shetani:
.
User yeyote anayeweza ku access Cpanel ni lazima awe admin, otherwise haitakuwa na maana yeyote kwa user wa kawaida kupata access ya Cpanel, atakuwa anatafuta nini huko?.
Wako vizuri sana hao jamaa.... Na Cpanel yao ilikuwa ina allow ssh yaani ukimtengenezea user mmoja nayeye anakuwa na extra power kama admin vile ila ni hatari sana sijui kama wame itoa..
.
Mi nawaangalia kwanza HOSTYD mana Nilijaribu kutumia HOSTINGER lo wanauzi kinoma kwenye matumizi ya Ip address...
.
.
User yeyote anayeweza ku access Cpanel ni lazima awe admin, otherwise haitakuwa na maana yeyote kwa user wa kawaida kupata access ya Cpanel, atakuwa anatafuta nini huko?
Mkuu naomba ufafanuzi wa kitaalam kwa nini unaona ni hatari kuhost site na Cpanel? Ninavyofahamu mimi Cpanel ni tools tu ya kukurahisishia kazi. Nilihost na monster.com halafu nyingine na godaddy.com na wote wanatumia Cpanel.
Kuhusu admin kuwa na weak password hilo ni kosa lake mwenyewe!
Na hata akitumia strong password vipi hacker anaweza kum backtrack .... Ndo maana tunainstall security software kwa ajiri hiyo. Na kuhusu Key loggers karibu antivirus zote zinaitambua.
Hacking ya email mara nyingi njia rahisi wanayotumia hackers wengi ni social engineering, na kama wewe ni admin lazima utajua mambo hayo vizuri sana unless umekurupukia fani za watu. Kitu kingine ni kwamba password siyo rahisi vile kuhack ukiwa kwenye console / au web interface inategemea imekuwa setup kivipi kuna zingine ukikosea password mara mbili ya tatu inakulock out, na kuirudisha lazima uwapatie majibu ya test question ulizojaza upokuwa unafungua acc.
Nionavyo, hatari unayoongelea si hatari vile ila ni matatizo yanayojitokeza kwa kutokutumia tools kama zilivyokusudiwa. Human errors wala siyo tatizo la udhaifu wa technology ya jamaa.
Aisee! Kweli heshimu taaluma za wenzako!
Yaani hakuna nilichookota hapa!!
Aisee! Kweli heshimu taaluma za wenzako!
Yaani hakuna nilichookota hapa!!
......
.
Na vile vile kwa website nyingine to find cpanel
account tuna anza na ku find configuration
files on all site on the server, then
find user name all user in server.
Next..
You can crack it using username
as user and password in
configuration files as password
........
Usishangae watu wana hack tu Goverment website Jaribu kuwa aware dunia ndo inaishia hii
ndio anachokifanya akiwa kwenye pc wakati wengine tunaangaika na rahatupu mara brazzers tabu tupu..You sound like a real hacker....buddy ! In doing so you are violating GAMES's rules....anyway, go go on buddy...!
.You sound like a real hacker....buddy ! In doing so you are violating GAMES's rules....anyway, go go on buddy...!