zamboni JF-Expert Member Aug 8, 2011 364 180 Jul 14, 2016 #1 Habari wakuu? Hivi NMB walishaita Kwa ajili ya interview nafasi Za bank teller?
Kibo255 JF-Expert Member Aug 11, 2013 4,408 3,939 Jul 14, 2016 #2 Zonal gani mkuu interview zao ni za kanda kansa ipi
W wazirihusika Member May 17, 2013 83 82 Jul 14, 2016 #5 zamboni said: Kanda ya ziwa mkuu Click to expand... Nimesikia wameshakuwa shortlisted,kuna nafasi za reconciliation kwenye website yao
zamboni said: Kanda ya ziwa mkuu Click to expand... Nimesikia wameshakuwa shortlisted,kuna nafasi za reconciliation kwenye website yao