Sayaka
Senior Member
- Aug 3, 2014
- 162
- 50
Habari wana jamvi , hivi hii tabia ya wafanyakazi wa Bank ya CRDB kumjibu mteja pale anapohitaji bank statement yake kila siku network iko down , miaka yote huwa network iko down na hawawezi mprintia mteja haki yake ? Au unaacha details ndo waprint, inamaana hii network hamjawahi ripoti kwa IT wenu kuna network inasumbua? Nimeshindwa kuelewa sasa maana ni zaidi ya miaka na miezi kila nikisema niende kupata statement yangu wananiambia leo haiwezekani network hakuna , tuambieni network ipo siku gani maana ni miaka na miaka sasa huwa tu network hakuna , kazi mnafanyaje kama network hakuna ? Au hamtaki ? Mmenikera sana na niwazi hampendi kumpa mteja haki yake . Kila branch hakuna network basi huyo IT wenu mbovu