lawyer himself
New Member
- Jul 18, 2019
- 3
- 3
nahitaji mniguide kwa ambao wameshapita uku au wanajua aya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua.
Tafuta mtu unayemjua mwenye uwezo kifedha ambaye kwenye akaunti yake kuna mpunga mzuri...
Then anaweza ji-commit kama mdhamini wako kwa dharura yoyote...
Ila njia nyingine mtu anaweza akapitisha pesa kwenye akaunti yako, ukimalizana na mambo ya visa, unamrejeshea mpunga wake...
Pia ubalozi wowote ukiongea n'a afisa au mlinzi , wanakuwa n'a documents zote zinazohitajika n'a ubalozi husikaHabari zenu wakuu!
Kwa watu ambao mmewahi kusoma nchi za nje au ambao mmeshawahi kufatilia kuhusu haya mambo, ni dhahiri mnafahamu kuwa ili mtu upewe nafasi ya kusoma chuo cha nje lazima uwahakikishie unajiweza kifedha na unaweza fanya ivo kwa kuonesha bank statement yenye kiasi cha fedha fulani.
Bank statement mara nyingi except to the few huwa bank statement uwa watu wanaongopa ivyo basi ninakuja kwenu, nahitaji mniguide kwa ambao wameshapita uku au wanajua aya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua.
Ahsanteni.
Ulishapata BS??
Yah ipo mzee mambo madogo hayo..unaomba US visa?? Uko dsm lkn? Nicheki DM mzee nikupe maelekezoHapana. Una-connection ya bank statement?
Nashida na Bank Statement pia nipo DarBank statement inapatikana mkuu.
Karibu sana.