mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,172
- 1,074
Sakata zito linaloendelea Mamlaka ya Bandari Tanzania likihusisha upotevu wa Mapato yakiwa ni tozo za utumiaji bandari kwa waagiza mizigo na wasafirisha mizigo (Magari, bidhaa mbalimbali ktk makontena n.K).
Ukweli wa mihamara iliofanyika unaonyesha kabisa kwamba mawakala wa forodha kwa niaba ya wateja wao walilipa malipo husika kupitia Benki hasa CRDB kama ambavyo pia malipo ya kodi mbalimbali yalivyokuwa yakifanywa kupitia Bank M, DTB, n.K
Baada ya kufanya malipo walipaji walipewa electronic printed slips ambazo waliwakirisha mamlaka ya Bandari ambako uhakiki ulifanywa kuhusu malipo husika kisha kuruhusu mizigo kutolewa kwa taratibu zote kufanyika ikiwemo kuwapa delivery order /gate pass n.K
Wizi na ukwapuaji wa malipo husika toka toka katika mfumo wa kumbukumbu za malipo kati ya Benki, TPA na Mawakala usingeweza kufanikiwa ikiwa mabenki yangetimiza wajibu wao kikamilifu ikiwa pamoja na wafanyakazi wao kuwa waaminifu.
Aiingii akilini mteja wa Benki akadeposit fedha bank na kupewa deposit slip (printed electronically) kisha baada ya mwezi aende kutoa aambiwe fedha hakuna kwa akaunti na zimeliwa na teller wa Bank hivyo Bank haihusiki, inaeleweka?
Kuwalazimisha mawakala wa forodha kulipa malipo waliolipa tayari na yanayotuhumiwa kufujwa na wafanyakazi wa Benki na TPA ni uonevu na ukiukwaji wa misingi ya haki.
Wahusika katika taasisi husika ni wengi, wanafahamika, na tuhuma hizi za wizi zimekuwepo kwa Muda mrefu sana.
Lakini pia zipo kampuni chache za uwakala wa forodha zisizo fanya Kazi kwa maadiri, weredi na uaminifu hivyo kushiriki ktk uhujumu uchumi, wizi na ubadhidhirifu.