one one chief
Member
- Jan 22, 2014
- 39
- 105
Mkuu, Sheria za nchi zinakataza. Unashtakiwa kwa wizi. Sababu kosa linajirudia anachoweza kufanya ni kuizuia mpaka wamthibitishie kuwa wamerekebisha mifumo yao inayosababisha hilo kosa.pita nayo tu hawakufanyi lolote! kama kuirudisha wangerudisha! huyo aliyekupgia ndio anayeikula kijanja
Thanks, na kwanini wanipe account nyingine ndio niitumie kurudisha pesa yao..? Kwanini wao wenyewe wasitoe iyo pesa wakatuma wanakotaka kutuma?Wewe warudishie tu mkuu. No matter what usiingie kwenye mtego. Haiku cost kitu kuwarudishia. Ila itaku cost usipowarudishia.
Kingine mkuu usibadili r na l. Una r kali sana!
Thanks... I think I have to report this...kuepuka madhara ya baadae...Wanatakatisha kupitia akaunti yako
Jiongeze wewe hiyo michezo ipo sana ni utakatishaji huo unafanyika na wewe na akaunti yako ndio wahusika ,hakuna bahati mbaya ya hivyo kwa BankNaomba wenye kujua wanijuze hili, kuna bank furani ilituma pesa kimakosa February 1 katika account yangu... na baada ya kuchukuwa statement ikaonekana na mshahara uliolipwa kutoka kaasisi furani. (Mimi sio muajiriwa wa taasisi yoyote).
Baada ya siku tatu wakanipigia simu kupitia mtu wa bank wakitaka niwarudishie pesa yao maana wakadai walifanya makosa ya kibank.. nikawarudishia pesa yao tena kwa kutuma kwenye account ambayo wao wallpa wakidai ndiyo ya mteja ambaye alipaswa kuwekewa pesa hiya.
Sasa nashangaa tena mwezi huu wametuma pesa kama ile ile.... nawaza je ni kweli wametuma kimakosa au kuna kamchezo wanakajua wao? Naomba mwenye kujua anijuze tafadhari.
Tatizo ni njia anayotumia kurudisha, kama utakatishaji fedha huyu anatiwa hatiani.Wewe warudishie tu mkuu. No matter what usiingie kwenye mtego. Haiku cost kitu kuwarudishia. Ila itaku cost usipowarudishia.
Kingine mkuu usibadili r na l. Una r kali sana!
Utakuja shirikishwa jambo lisilokuhusu bila kujua. Fanya hivi, kama kuna makosa wamefanya wakaweka kwenye akaunti yako, wewe zirudishe kwenye akaunti yako wazichukue wenyewe huko. Kitendo cha kuzitoa na kuziweka kwenye akaunti nyingine, utaonekana wewe umehusika kuzitoa na kumuwekea mtu unayemjua.Naomba wenye kujua wanijuze hili, kuna bank furani ilituma pesa kimakosa February 1 katika account yangu... na baada ya kuchukuwa statement ikaonekana na mshahara uliolipwa kutoka kaasisi furani. (Mimi sio muajiriwa wa taasisi yoyote).