Chilimba Member Joined May 1, 2022 Posts 8 Reaction score 7 Jun 28, 2023 #1 Wakuu Samahanin sana iv Bank statment Tunapata vip na inakuwaje?
Umkonto umsizwe JF-Expert Member Joined Feb 7, 2023 Posts 527 Reaction score 1,136 Jun 28, 2023 #2 Unaipata kupitia e-mail ambayo uliweka kipindi unasajili iyo account yako na namba ya Siri huwa tarehe mwezi mwaka bila kuacha nafasi na alphabet ya kwanza ya jina lako na ya jina la mwisho
Unaipata kupitia e-mail ambayo uliweka kipindi unasajili iyo account yako na namba ya Siri huwa tarehe mwezi mwaka bila kuacha nafasi na alphabet ya kwanza ya jina lako na ya jina la mwisho
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 22,327 Reaction score 44,893 Jun 28, 2023 #3 Chilimba said: Wakuu Samahanin sana iv Bank statment Tunapata vip na inakuwaje? Click to expand... Kama unatumia app unawesa kupata statement. Vinginevyo uende bank uombe wakupe statement
Chilimba said: Wakuu Samahanin sana iv Bank statment Tunapata vip na inakuwaje? Click to expand... Kama unatumia app unawesa kupata statement. Vinginevyo uende bank uombe wakupe statement