Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Hello Wana JF .Naomba msaada wenu Kwa mwenye kujua bank ipi yenye kutoa mkopo Kwa riba nafuu please .Nina biashara na ina run vizuri ila mtaji wa kuizungusha haraka haraka ndio sina mtaji wa kutosha ,nahitaji tu 31 milioni Nina title deed ya nyumba, Asante sana wanandugu wapendwa. HAMNA KUKWAZANA PLEASE.