Bango la Tanzqania Rest In peace Kampala

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
..............Mashindano ya Challenge kule Kampala ndo yanaishia.... leo Wa Tanzania Bara wameshindwa kufurukuta...... mbele ya Tanzania Zanzibar.... licha ya kupata goli la mapema wameonyesha jinsi walivyo..... kama walivyoonyesha udhaifu kwenye mechi kati yao na Uganda Cranes na kukubali magoli 3 - 0.... kuna bango lililoonyesha R. I. P. Tanzania..... wakati wa mechi hiyo....... :welcome: leo ndo nimeelewa maana halisi ya maneno hayo ....................
 
Lile bango lilikuwa mahalum kwa ajili ya Muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar!
 
ULIONA JINSI KOCHA NA VIONGOZI WALIVYOTAKA KUSHINDA HIYO MECHI VIBAYA SANA MPAKA WACHEZAJI WALEWALE WALICHEZA MECHI HIYO
DUH KWELI NAMWONEA HURUMA DIDA NA MAKINDA WA SIMBA HATA HAWAKUPEWA NAFASI !!!!:A S thumbs_down::A S thumbs_down:
 
Lile bango lilikuwa mahalum kwa ajili ya Muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar!

................chonde chonde jamani hapa nazungumzia soka bovu la TZ siko kwenye siasa... za Zanzbar na Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…