Bango la Simba UKAWA uwanja wa taifa jana lilikujaje?

Bango la Simba UKAWA uwanja wa taifa jana lilikujaje?

mkolaj

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
3,023
Reaction score
1,093
Ndugu wanajf kwanza nawasalimu, je humjamboooo!!!! Jamani wapenzi wa soka napenda kuuliza kuwa, lile bango la simba UKAWA ambalo jana tuliliona kwenye uwanja wa taifa wakati timu yetu ya taifa(taifa starz) ikipepetana na timu ya taifa ya Benin lilikujaje wakati jana haikuwa inacheza SIMBA!!!!!, Au kimichezo inafaa hasa timu ya taifa inapoiwakilisha nchi!!!!...Bango lenyewe lilikuwa limeandikwa hivi; SIMBA INASONGA MBELE............
 
Back
Top Bottom