Bango la miaka 51 ya Muungano

Bango la miaka 51 ya Muungano

ngawia

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
834
Reaction score
858
Kwenye Mabango ya kuwakaribisha Watanzania kuhudhuria sherehe za miaka 51 ya Muungano yaliowekwa kwenye kona mbalimbali za jiji la Dar es Salaam, kuna sehem inayosomeka 'Pigia Kura ya NDIYO Katiba Pendekezi'.

Kwanini hapana wa hapana wanaambiwa wanavunja sheria ila wa ndio hawavunji sheria ilihali Kampeni za kusema NDIYO au HAPANA hazijaanza?!
 
Tanzania tumetumia kiac kikubwa kufanya mchakato wa kupata katiba mpya na muda pia. Imepitia taratibu zote kwa mujibu wa sheria iliyoundwa. Na lengo siyo kuona katiba kutopatikana ndiyo mana wanahamasisha ili wananchi waipigia ndiyo na wenye macho wa kuona fursa wachangamkie. Hata iwe wewe umlee mtoto kwa gharama kubwa na umpeleke shule ya gharama kubwa, utafurahi kuona mwanao akifeli???
 
wangapi wanapelekwa shule za mamilioni na wanafeli???

uzembe, kiburi, dharau, majivuno kuwa baba yangu anazo, na jeuri ya pesa!! kwanini asifeli???
 
wewe cha kufanya ni kuisoma hiyo rasimu na kufanya maamuzi,itakufaa kama Mtanzania au la?..siku ya kupiga kura utajua nini cha kufanya...ofcourse wao watasema uipigie kura cz wanaiona perfect,they made it..sasa it is up to you kuona kama kweli itakufaa,nawashangaa wanaowaambia watu wakapige kura ya hapana,na mtu kukubali bila hata kuishika hyo rasimu,tusisikilize maneno ya watu,mtu ukiipata isome na mkae watu muichambue na kuielewa,or else itakula kwetu mazima
 
Sidhani kama watanzania wote watapata fursa ya kuisoma hiyo rasimu, wengine wanaipata na kupuuza kuisoma sasa sijui ni ujinga au jeuri, na kwa wale majority ambao hawajui kusoma itakuwaje?. - wengine ni viongozi wa mitaa na vijiji lakini bado wanapuuza kuipitia rasimu lakini ipo mikononi mwao. Ndo mana mwisho wa siku watu wengi tu watashawishiwa kupiga kula ya ndio, ilimradi tu.
 
Tanzania tumetumia kiac kikubwa kufanya mchakato wa kupata katiba mpya na muda pia. Imepitia taratibu zote kwa mujibu wa sheria iliyoundwa. Na lengo siyo kuona katiba kutopatikana ndiyo mana wanahamasisha ili wananchi waipigia ndiyo na wenye macho wa kuona fursa wachangamkie. Hata iwe wewe umlee mtoto kwa gharama kubwa na umpeleke shule ya gharama kubwa, utafurahi kuona mwanao akifeli???

Sasa na sie majirani tunaemwona kuwa huyo mtoto ni punga tunataka nasi tuseme mbona tunanyamazishwa
 
Tanzania tumetumia kiac kikubwa kufanya mchakato wa kupata katiba mpya na muda pia. Imepitia taratibu zote kwa mujibu wa sheria iliyoundwa. Na lengo siyo kuona katiba kutopatikana ndiyo mana wanahamasisha ili wananchi waipigia ndiyo na wenye macho wa kuona fursa wachangamkie. Hata iwe wewe umlee mtoto kwa gharama kubwa na umpeleke shule ya gharama kubwa, utafurahi kuona mwanao akifeli???

Kwa hiyo kwa sababu tumetumia pesa nyingi ndio sababu ya kupitisha tu Katiba hata kama ni mbovu?

Gharama za kupitisha na kuwa na Katiba mbovu ni kubwa mara 100 ya kuandaa Katiba yenyewe.
 
Tanzania tumetumia kiac kikubwa kufanya mchakato wa kupata katiba mpya na muda pia. Imepitia taratibu zote kwa mujibu wa sheria iliyoundwa. Na lengo siyo kuona katiba kutopatikana ndiyo mana wanahamasisha ili wananchi waipigia ndiyo na wenye macho wa kuona fursa wachangamkie. Hata iwe wewe umlee mtoto kwa gharama kubwa na umpeleke shule ya gharama kubwa, utafurahi kuona mwanao akifeli???
In this case hakuna sababu ya kuletwa kwetu sasa kama gharama na muda umetumika, kikubwa ni kuisoma na kuilewa na kupiga kura ya NDIO au HAPANA bila kushurutishwa na mtu
 
Tanzania tumetumia kiac kikubwa kufanya mchakato wa kupata katiba mpya na muda pia. Imepitia taratibu zote kwa mujibu wa sheria iliyoundwa. Na lengo siyo kuona katiba kutopatikana ndiyo mana wanahamasisha ili wananchi waipigia ndiyo na wenye macho wa kuona fursa wachangamkie. Hata iwe wewe umlee mtoto kwa gharama kubwa na umpeleke shule ya gharama kubwa, utafurahi kuona mwanao akifeli???

....wakati wanachakachua mawazo yetu hawakujua kama wanapoteza muda wetu pia...? warudishe maoni yetu waone kama hatujaikubali hata kabla ya maoni, wakikomaa na mawazo yao basi wajue na gharama wamepoteza ....
 
wewe cha kufanya ni kuisoma hiyo rasimu na kufanya maamuzi,itakufaa kama Mtanzania au la?..siku ya kupiga kura utajua nini cha kufanya...ofcourse wao watasema uipigie kura cz wanaiona perfect,they made it..sasa it is up to you kuona kama kweli itakufaa,nawashangaa wanaowaambia watu wakapige kura ya hapana,na mtu kukubali bila hata kuishika hyo rasimu,tusisikilize maneno ya watu,mtu ukiipata isome na mkae watu muichambue na kuielewa,or else itakula kwetu mazima

Naona hazikutoshi ww; kaazime nyngne kwa jiran yako; Kwa hiyo kura ya NDIO hata kama hujaipitia rasim ni sawa lkn YA HAPANA bila kuipitia rasimu si sawa; utakua umetumwa afu umesahau wslichokutuma
 
Mm nawaz tu uchaguz wa mwka huu utakuwaje yn dalili za mvua tayar...
Km vp naon wangeanz kwakuvunja huo muungano tubak wenywe tuparangane vzr zanzbr ni tegemezi sn sn sn tn saaaana.
Ukija kwny katiba ht akiulizw mwny Phd ni nyota tu ni bora ht ingejadiliwa mwka mzima ndo ipitishwe kuliko kinacholazimishw ss iv.
 
Naona hazikutoshi ww; kaazime nyngne kwa jiran yako; Kwa hiyo kura ya NDIO hata kama hujaipitia rasim ni sawa lkn YA HAPANA bila kuipitia rasimu si sawa; utakua umetumwa afu umesahau wslichokutuma

naona huajaelewa kilichoandikwa..try understand first,nimesema watu waisome waache kufuata mkumbo wa ndio au hapana,watu waichambue nakuona kama itafaa,anayesema ndio au hapana ni juu yake lkn huwezi muambia mtu akachague ndio au hapana wkt hajaisoma,ni ujinga part zote..kila mtu anamtazamo wake..I thank God i have a brain of my own
 
Back
Top Bottom