Bango la mgombea ndani ya email

mzee wa maigizo kwenye madala dala cku zote alikuawap.... mtadanganywa saaana... team magufuli
 
Walioishiwa hoja hukasirika na kutukana. Matokeo yake ni kupoteza mwelekeo. Hivi ukienda kutafuta riziki unahangaika kujua jirani yako ana fanya nini?
 
Walioishiwa hoja hukasirika na kutukana. Matokeo yake ni kupoteza mwelekeo. Hivi ukienda kutafuta riziki unahangaika kujua jirani yako ana fanya nini?
upo sawa ila kunakoelekea nawao watajibiwa hivohivyo
 
Mimi pia nmeikuta nkasema makubwa haya hadi huku
 
Walioishiwa hoja hukasirika na kutukana. Matokeo yake ni kupoteza mwelekeo. Hivi ukienda kutafuta riziki unahangaika kujua jirani yako ana fanya nini?

We pimbi kweli mimi jirani nimemjibu huyo jirani mwenzangu wa ukawa aliyetaka kujua bango la mgombea wa CCM linafata nini katika email zake. Au ulitaka tukae kimya ili muendeleze ule mchezo wenu wa kuanzisha thread then mnakuja na multiple id's kujijibu wenyewe. Huyo Mpumbavu (In mkapa's voice) kauliza mimi Mwerevu nimemjibu . Shida iko wapi?

Ningepita tuu kwenda kutafuta riziki unafikiri huyo mwanzisha mada angejua kama hizo ni online adverts au PPC (Pay Per Click). Atleast mimi nimechangia kwa kumjuza huyo jamaa kuliko wewe uliyeleta Pumba humu
 
Hata wakifanya kampeni mtawafanyaje?
 
Hata wakifanya kampeni mtawafanyaje?

Hatuna cha kuwafanya , mimi nimeonge mtazamo wangu. Binafsi hata wasipo niwkea bango Mag anaweza pata kura yangu kwa sababu sina upande. I am non partisan. Wasinfluence watu tu kuwa namuelekeo wanao taka wao,kw a sababu wao ni chombo cha umma wote na tunakiheshim. Awe Maguful au huyo lowasa wote wasiwawekee mabango.!! Wauwekee bano la rais wetu Kikwete bado yupo kwa ofisina mfagilia kwa kuwawezsha wanawake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…