Habari wakuu?
Nauza frem ya bati ya bango la biashara lenye kuwaka taa ndani pamoja na stendi yake. Bango lina urefu wa Mita 2 na Upana wa Cm 80 na unene wa Inch 5" yaani (2m×0.8m×5")
Kwa atakayenunua atakwenda ku print tangazo lake analolitaka then atapachika.Bango linapatikana Dar,Bei Tsh 100,000.
NB:Linawaka Taa.
Kwa muhitaji ni pm kwa mawasiliano zaidi.