KALYOVATIPI
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,414
- 199

Kila mtu anajua kuwa hata mbwa mwoga uwa anangome yake,unaweza ukakutana nae barabarani ukamtimua belenge mpaka nyumbani kwao akifika Nyumbani kwao hakika tegemea hakubadilikie.

Ndio hilo bango ni ujumbe dhahiri kwa CHADEMA,lakini killa mmoja anajua kunja maeneo fulani kutokna na tabia za jamii fulani imekuwa ni lahisi kwa vyama fulani kushika hatamu maeneo hayo.Ni dhahili CCM kiko Nchi nzima,lakini kwa sasa kuna baadhi ya maeneo vyama baadhi vimeanza kukubalika na kuwa na idadi kubwa ya wanachama.Chadema imekubalika sana mikoa ya Arusha,Kilimajnaro,Mara, Mwanza,Kigoma na Mbeya, wakati CUF imeaanza kukubalika sana maeneo ya Pwani na Zanzibar.

Hivyo kwa mikoa ya SHINYANGA NA TABORA hakika hizo ni Ngome za CCM kwa kiwango kikubwa sana,Hivyo bango ilo japo kwa chama dola ni vyema ikawa makini kuangalia baadhi ya maneno na matamshi kutoka kwa kada wake,kwa kuwa wao ni chama tawala hivyo ni vyema kuwe na sheria zake kwenye chama ili kutoa malengo ys kipi kitamkwe wapi na saa ngapi

Toa maoni yako.

Hivi CCM hawaruhusu watu wasio na sare kuhudhuria mikutano yao?
Mfa maji haishi kutapa, walianza chama cha wachaga wa Kilimanjaro, sasa wameongeza Arusha na wataongeza Igunga safari hii.View attachment 36961 Toa maoni yako.
Wametumia uhuru wao wa kikatiba kueleza ujumbe wao kwa hiyo sidhani kama wana kosa. Makosa makubwa ni kwa viongozi wa Chadema kwa kuwakaririsha watu waamini kwamba vurugu ndiyo suluhisho la matatizo yetu.
Sasa kila mtu anajua kuwa Arusha ndiyo mji unaoongoza kwa vurugu na maandamano Afrika Mashariki kiasi cha kupunguza idadi ya watalii wanaotembelea mji huo na hivyo kupunguza pato la taifa linalotokana na utalii. Hivi niwaulize MAGWANDA mnaitakia mema hii nchi kweli? Au mnataka Tanzania igeuke Somalia?
Umenikumbusha njia ya kati enzi za biashara ya utumwawajinga ndio waliwao, waache.
Hawa wana laana ya utumwa, walichukuliwa utumwani na Mwarabu, wakachukuliwa tena utumwani na CCM na kibaya zaidi sasa ni watumwa wa FIKRA

Kweli CDM ni watu vurugu sana wamenisikitisha sana wamemwagia Tindikali kijana mpenda amani wa Igunga