Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,146
- 34,190
Inabidi kwanza nicheke nikikumbuka kisa hiki. Siku moja basi wakati nasoma chuo cha kodi wakaja marafiki zangu kutoka Arusha kunitembelea. Tukaamua twende out ku party kama kawaida yetu mpaka asubuhi. Sasa basi nikampigia simu mume wangu ambae kipindi hicho alikiwa bf yangu niombe ruhusa hakupokea. Nilifurahi sana manake jitu lenyewe kwa wivu huenda lingekataa.
Basi tukazururura weeee bar za Mikocheni mwisho tukaenda kula Rose Garden. Tulipokula tukaendelea kupombeka kisawasawa mie hapo sina wasiwasi wowote najipa raha. Tukaamua kuvuta kitu cha Arusha walichoniletea. Nilikuwa napenda sana ile kitu. Nikishakunywa niipate inakata maji yote naanza upya. Haya bwana, tukajibanza mahali kazi ikawa moja tu Puff Puff Pass. Natamani kupaa kwa furaha nikikumbuka. Anyway nikaamua kwenda kususu na kilichonifanya nikasusu parking sijui ni nini. Mara nimeinama nasusu nikasikia sauti ya mbuzi. Nikakatiza susuing. Lo! Nikaanza kumtafuta mbuzi parking. Mbuzi sikumuona nikaamua kumalizia susuing. Nishamaliza sijui ilikuwaje nikaangalia namba za gari ambalo nilikuwa nasusu mbele yake. GARI LA MUME WANGU. Nikapanda bajaji mimi huyo nikatimkia chuoni. Wenzangu niliwaaga kwa kuwatwangia waya. Mh! Bangi nomaaaaa. Ama sijui ni pombe?