Bangi Nibangue :D

Bangi Nibangue :D

Kuna vitu unavi suppress .....
sababu ya ndoa i guess...
ndo unajikuta so bored and so lonely.....

yeah, I think so too. So nimeamua nipone baada ya operation ya kujifungua, baby akue and I can work towards a new life. Maybe get a job, or get back to school. Sitapoteza muda kukaa pekee yangu and wishing this or that. Thanks Boss.
 
Natafuta mahali alipotaja mwaka wala sipaoni..... mkuu au chuo cha kodi kilifungwa kabla ya ujio wa bajaji?
usije ukasema na mimi nimepata kitu cha Arusha, mawani yangu haya wakati mwingine huchagua maneno ya kusoma...LOL

hahahaaaa. Ilikuwa 2009 mkuu. Bajaji teleeee.
 
kitu cha chuga ktam balaa

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Back
Top Bottom