Bangi na vijana Arusha

Vijana wengi wa Arusha ni masela mavi na ujuaji wa kifala, miaka mingi mbele Arusha inaweza kuwa na vijana wajinga kuliko mkoa wowote Tanzania.
 
Hiyo bangi ya dar
Watu kibao wanatumia Dawa, hata mtoa mada sio ajabu Baba anakula dawa vizuri tu, dawa ni mmea uzao msimu wote wa mwaka, ni kama nyanya vile kama kichwa chako hakiwezi kumudu na unahitaji piga puff 2 tatu endelea na kazi zako..
Philosophers mashuhuri kwenye hii Dunia wametumia Mmea kutuliza fikra chonganishi za hii Dunia..Brother Bob Marley, Peter Tosh, Einsten & ...&...&...

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mtoa Mada mbona unaumwa?Umekonda nini? Heee[emoji1787]heee kumbe nimevuta.
 
Mtu anakaa anatetea bangee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii nchi Uhuru umezidi[emoji1787][emoji1787][emoji113][emoji113][emoji113]
 
Kwa hiyo machalii hapo wanapiga sana kitu cha arachuga.....ni muhimu hatua zichukuliwe mapema.
 
Genesis 9:3
Every moving thing that lives will be food for you. As the green herb, I have given everything to you.
 

Binafsi nimekusamehe
 

Chugga vijana wengi wamedata kisa bangi yaani kuna vichaa kibao hadi wengine wanapewa airtime kwenye media😀😀hapo kaloleni ndo center ya uharifu wanauza biskuti za bangi, kuna hadi cake za bangi chugga ila nashangaa this year ndo wanajifanya kukamata biscuit za bangi😀😀wakati party kibao watu wanaletewa cannabis cakes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…