Bangi na vijana Arusha

Utakua unapenda sana Ndumu..

Tupo pamoja.
 
Sasa mleta mada hao muhimu wa mateja
 
Utakua unapenda sana Ndumu..

Tupo pamoja.
Bangi kavuta babu yangu mpaka sasa ana miaka 95 anavuta tena anafanya kazi zake zote vinzuri,mimi bangi siwezi kuacha pombe sinywi kabisa sijawahi kuweka alcohol mdomoni mwangu wala cigarette, sifagilii wanawake sana mimi bangi ndo kiburudisho changu,bangi haina madhara kama ingekuwa na madhara ingeshamfanya baba yangu ma babu kuwa machizi,babu anavuta bangi masaa 24,mda wote bangi ipo mdomoi alafu haziimi,anasikiliza reggae na kusoma vitabu sana,madini mengi ananipa babu kasomee saikilojia,sema alifungua kampuni yake ya utalii ambayo baba ndo anasimami sasa
 
Bangi tena hata leo nimevuta na wazungu anachukua anaroll mwenyewe,wapo simple sana
 
Safi sana , kaya naielewa sana.

Hapa tu nimekiwasha.
 
Ziko wapi mkuu?
 
Umetumia nguvu nying san kueleza si ajabu ukawa miongoni mwa users.,

Kitu tusichokijua ni kuwa hakuna ubaya wowote wa bangi..sigara ina madhara lakini si bangi. Nisawa nawew unaekunywa soda yenye vijiko8 vya sukari na ukamsikitikia anaekunywa beer🍺

Nanukuu: You hate wid because you don't know about it #Wiz khalifa
 
Ganja
Bangi
Ndumu
Marijuana
Msuba
Kijiti
Dope
Mpepe
Jani

...Malizia
 
Astaqaffilallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…