Bangi na vijana Arusha

Hoja zip unataka !! Soma nimeandika nn? We unaparamia maana hii Id hata ukilala unaota juuu ya hii Id ...Rudia kusoma comments ya kwanza kabisa then ndo uje ,shule huna na jiji limekushinda mara oooh sijui biashara haziendi!! Rudi kwenu sio dhambi unaleta mapigo ya kishamba
 


Ushoga ndo huo sasa naongelea.
 
Mzee jibu swali acha kukimbia,in fact umeishia darasa la Saba,nipe maana ya bangi??kama hujui omba msaada,OK mini dar sikuwa kama wewe muuza pweza
 
Watoto wa Arusha wajuaji sana 😀...........miaka fulani dogo ametoka chuga akaja Udsm kusoma,stand wakati ipo Ubungo, bodaboda alimlipisha 15elf alishuka naye external -Maziwa -Shekilango -Mwenge -makongo juu -Udsm

Dogo alikuwa anakula mmea hatari pale goli la Mabibo hostel
 
Leta scientific evidence kama mambo hayo yamesababishwa na Bangi,tajiri namba moja Elon Musk anakula ganja ila wewe Kapuku unasema ni mbaya!!

🤣🤣
 
Ikawaje??
 
we si useme walichokufanya wavuta bhange.

alaf unaposema nguvukazi inapotea wapo vijana hawavuti bhange ila hawataki kujishughukisha hapo ndipo nguvu kazi inapopotea ila kama una visa na watoto wa arusha basi bhange iweke kando.

kuhusu ufiraji hilo swala la kawaida umezingua lazima ufirwe ili ujue mipaka yako
 
Wamekaririshwa
 
inaonekana ww mjuzi wa mambo maana unazitoa zile za ndaniii ambazo zinaonyesha chanzo chake nichauhakika
 
Mzee jibu swali acha kukimbia,in fact umeishia darasa la Saba,nipe maana ya bangi??kama hujui omba msaada,OK mini dar sikuwa kama wewe muuza pweza
Bangi unataka kujua ni nn?
Mzee jibu swali acha kukimbia,in fact umeishia darasa la Saba,nipe maana ya bangi??kama hujui omba msaada,OK mini dar sikuwa kama wewe muuza pweza
Bangi ni hutokana na mmea ambao ni mbangi ( cannibals) ndani ya huo mmea kuwa chemical ambazo huleta ulevi Ndani yake mna ambazo hizo chemical au dawa zinatumika katika kutengeneza dawa za kpimo maalumu...kutumia kama sigara bila ya kuwa na kipimo cha kupima dawa iliyo ni hatari ...Bhangi yenye kipimo cha juu kabisa cha mbangi tunaita "Ganja"
 
Ni maeneo gani Arusha bangi inalimwa?
 
Kwani wewe nwili wako haujawhi kutumia bangi??
 
Kwani wewe nwili wako haujawhi kutumia bangi??
Unajua nn tunaongea hapa?

Sasa Rudi zipo bhangi zipo packaged na Zina vipimo kamili na wamepunguza kilevi kutoa Yale matumba ,sio nyie mnasaga na mikono imekuwa meusi kama miguu ya kunguru ...kwamba mko kilocal sana mpaka wengine wanakuwa vichaaa wanaongea tu mtaani.

Hata kama ni dawa zimechanganywa ziko na ingredients yenye vipimo na kisomi zaidi sio mambo yenu ya bush.
 
mateja wana kazi kubwa sana ya kukusanya makopo ambayo yangekaa mitaani yangeleta kero kwakua hayaozi na ni uchafu mgumu Sana, na asilimia kubwa mateja ndio waokotaji haswa wa makopo hayo na wanasaidia kazi nyingi sana mitaani kwa dau dogo cha msingi uwe makini unapompa kazi kusiwe na kitu cha kubeba kw a urahisi
 
Kwanza bangi ya arusha huwezi kuifananisha na bangi yeyote inayotoka tanzania,mimi nanunua bangi kwa marasta og wanaolima kwenye mashamba yao ya nyumbani,huwa nanunua ndoo ndogo ikiwa imetoka kukaushwa,ambayo ni pure haijawekwa kwenye kaki,hiyo bangi nawauziaga wazungu wanaipenda sana,naisokota bangi kwa mikono yangu,huwezi ona weusi kwenye mikono yangu wala midomo yangu,navuta bangi kila baada ya masaa 3 tena bangi kubwa sio hizo bangi kama kijiti,nachukua rizila 4 naunganisha pamoja
 
Hata akili huna unafikria hao wazunguw anavuta kama nyie njaa wanakati wanaenda ifanyia processing nje ndo wanavuta ....unajitambua 😂😂Kweli hata mashamba makubwa ya bhangi wateja ni wazungu .


Kwa nn wenzenu Wana maviwanda na wasiwe wanavuta kilocal kama nyie👉👉Kaa chini ujiulize bhangi inafanyiwa baadhi ya process kabla ya kutumika ile kijanja zaidi ila sio nyie kwamba bhangi ilikuwa processed vizuri hamna uwezo wa kununua nyie.


Mnavuta makapi ndo maana wengi vichaa na kutukana ovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…