APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,739
Umedandi treni kwa mbele,wewe hujui chochote.kuhusu bangi,Acha chuki za kimama,yani hapo bila kificho mateja walikutoa malinda weweBangi imekuwa na athari Arusha vijana mnajihusisha na biashara tajwa pia ni waathirika wa bangi, NGUVU KAZI INAPOTEA huku Viongozi wanaangalia. Uhalifu Arusha ni kiashiria kuwa Bangi ndo chanzo.
NB: Baadhi ya wavutaji bangi mnajihusisha na mapenzi kinyume na maumbile bila kinga, Ni janga la kumaliza kizazi
Kwani nimetaja sehemu moja ,mbona una kariri na kufautilia nn nimeandika? Kuwa makiniYani wewe kumalo sana sasa chuki yani nini kwa arusha??utakuwa umelegezwa tuziii
ItakuwaItakua mtoa mada alishapigwa nyuma na wahuni
Acha chuki kwa arushaKwani nimetaja sehemu moja ,mbona una kariri na kufautilia nn nimeandika? Kuwa makini
Acha chuki kwa arusha
Hivi bangi wewe unatafsri vipi?Chuki ipi? 😂😂😂
Huyo hajui kuwa wavuta bangi wapo makini sanaHamna kitu kama hiko, nakula bangi na sina hata dalili yoyote ya kuwa mvutaji niko mjini kati, LEVOLOSI
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Umeelewa nn nimeandika au umekariri jina? Huwaga sipendagi shobo na watu washamba ..kausha!!Hivi bangi wewe unatafsri vipi?
Jibu swali,acha kukimbia kama mwanamke..Umeelewa nn nimeandika au umekariri jina? Huwaga sipendagi shobo na watu washamba ..kausha!!
Poleni sana Wana wa Arusha. Tuwaombee vijana wetu Mungu awanusuru na mtego wa mwindaji Ibilisi. Na sisi wazazi na viongozi wa ngazi zote kwa Mkoa wa Arusha, kila mmoja atimize wajibu wake katika kukinusuru kizazi hiki kinacho elekea kuangamizwa na Ibilisi.Bangi imekuwa na athari Arusha vijana mnajihusisha na biashara tajwa pia ni waathirika wa bangi, NGUVU KAZI INAPOTEA huku Viongozi wanaangalia. Uhalifu Arusha ni kiashiria kuwa Bangi ndo chanzo.
NB: Baadhi ya wavutaji bangi mnajihusisha na mapenzi kinyume na maumbile bila kinga, Ni janga la kumaliza kizazi
Sio kweli kaombee familia yakoPoleni sana Wana wa Arusha. Tuwaombee vijana wetu Mungu awanusuru na mtego wa mwindaji Ibilisi. Na sisi wazazi na viongozi wa ngazi zote kwa Mkoa wa Arusha, kila mmoja atimize wajibu wake katika kukinusuru kizazi hiki kinacho elekea kuangamizwa na Ibilisi.
Swali lip? Umeuliza nan kaanza kuquote mwenzio kama sio shobo ..Mimi huwaga sipigi mashoga so usinishobokee ni haramu kwangu..potea!!Jibu swali,acha kukimbia kama mwanamke..
Mzee kitu nilichogungua kutoka kwako kwanza hujiamini,yani mwanaume wa kweli hujibu kwa hoja sio kukimbia,alafu unazozileta huku ni dalili mbaya sana,kuwa wa kiume sio unakimbia kama bwabwa yani wewe nikikukazia kidogo tu lazima nikufumue marinda maana wewe mlaini sana,yani hata sipati shidah kukufumua marinda wewe mlaini kuliko demu wangu,sema kama utakuwa unawashwaSwali lip? Umeuliza nan kaanza kuquote mwenzio kama sio shobo ..Mimi huwaga sipigi mashoga so usinishobokee ni haramu kwangu..potea!!
Sawa. AsanteSio kweli kaombee familia yako
Nahisi umekuja kuchangamsha Genge yaan Mtu avuliwe utu wake kwa bangi ambayo anaweza kuotesha hata uani kwakePole Sana bangi imewafanya vijana hamjithamini Tena. mmevuliwa ubingwa kwa tamaa ya pesa kidogo ya kununua bangi
Wanaona bangi mbayaNahisi umekuja kuchangamsha Genge yaan Mtu avuliwe utu wake kwa bangi ambayo anaweza kuotesha hata uani kwake
Bangi imekuwa na athari Arusha vijana mnajihusisha na biashara tajwa pia ni waathirika wa bangi, NGUVU KAZI INAPOTEA huku Viongozi wanaangalia. Uhalifu Arusha ni kiashiria kuwa Bangi ndo chanzo.
NB: Baadhi ya wavutaji bangi mnajihusisha na mapenzi kinyume na maumbile bila kinga, Ni janga la kumaliza kizazi