Bangi msamvu ni kama chakula.

Bangi msamvu ni kama chakula.

Polisi hawezi kufanya chochote hapo anakuwa ameshachukua chake kutoka kwa pusha!

'hao polisi wenyewe sio ajabu ukakuta pia ni wqvuta bhangi sasa wataweza kuwakamata wenzao.................licha ya hivyo hao hao polisi ndio wanawauzia hizo bhangi baada ya kulamatwa sasa utakuta wanapeana kwa mali kauli tu hivi unadhani si anasubiri jamaa auze ili akachukue pesa yake?,na hata akikamatwa na mwengine atampigia simu afande wake atakuja wataongea wao kwa wao kuwa kampa mzigo azungushe hivyo inakuwa wanasumbuka bure tu mwisho wanaona aaagh'
 
Bangi refresh mind..iinafungua ubongo na kupanua upeo wa kufikiri..wacha watu wajilipue alaah!
 
Mtaani misokoto inauzwa kwenye madeli kama ice cream vile.
 
Mbona hamzungumzii zile dada poa pale msamvu highway? Nasema hawa wana madhara kwa jamii kuliko msuba, FREE THE WEED AND LEGALISE IT
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom