Bangi mbaya aisee!

[emoji15] [emoji15] ndo ubunifu huu?
ndiyo...si pasi inachemka au!!!kinachotakiwa hapo ni hiyo sufuria kuchemka na pass inauweza huo...utakuwa hujapita JKT au boarding school za kigumu!!!
 
ndiyo...si pasi inachemka au!!!kinachotakiwa hapo ni hiyo sufuria kuchemka na pass inauweza huo...utakuwa hujapita JKT au boarding school za kigumu!!!
Kwa hiyo wewe umeshafanya hivyo sana au?
 
Sijaelewa uhusiano wa hiyo picha na Bangi...
 
Sasa kama hana hela ya kununua mkaa afanyaje..?
 
Kwani Matumizi ya Pasi ni nini?
Hiyo ni Bangi kweli!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…