Bangi ihalalishwe

Kaka wewe nenda pale central police, pale nje, tena mbali tu na lango kuu. Kisha washa msokoto wako, puliza moshi wako kwa amani. Hao madaktari wabobezi mbona nao wanaivuta kwa uficho?????

unaongelea kuvuta bange central?

kwa taarifa tu central ya kaskazin wanapofanya kamata kamata ya bange na gomba na kufanya supply kuwa ndogo wao ndo wanakuwa wauzaji wakubwa! Watu wanapanga kununua bange na gomba central na maisha yanaendelea! Tatizo umekariri na kudanganya wavutaji ni wahuni!
 
Kwa hiyo uliponiita 'mzinzi' na hufahamu lolote juu yangu ilikuwa ni uhuni au bange?

Wewe unavyogeneralize kuwa sisi wavuta bange ni watu wabaya alhali haumfahamu hata unayeongea naye uko sane kweli?
 
Wewe unavyogeneralize kuwa sisi wavuta bange ni watu wabaya alhali haumfahamu hata unayeongea naye uko sane kweli?

Nioneshe wapi nime-generalize namna hiyo. Na kisha, hata kama nime-generalize, kutoa tusi ni njia njema badala ya kutoa maelezo? Ukishindwa kujibu kwa staha tunajua ni matokeo ya bange tu!
 
Nioneshe wapi nime-generalize namna hiyo. Na kisha, hata kama nime-generalize, kutoa tusi ni njia njema badala ya kutoa maelezo? Ukishindwa kujibu kwa staha tunajua ni matokeo ya bange tu!

Hebu nioneshe ni wapi nimetoa matusi!
 
matatizo ya akili huchangiwa sana na moshi, na mimi situmii.......

Sasa kama hautumii na unaona matusi pasipo na tusi hauoni kwamba kuna kitu kinachokupa uchizi, ambacho ni tofauti kabisa na bange lakini ni hatari kuliko bange!...achana na hiyo kitu mkuu!
 
Cops will enforce any laws. Even if the laws are wrong. They will lock you up for life for a plant. Cops, judges, wardens, and lawyers are not cool. They are part of a system designed to enslave you and take away your thought and mind. Pot is just a plant. The laws are designed to control you-MARK HARRIS
 
Genesis 1:12 says "The land produced vegetation: plants bearing seed according to their kinds and trees bearing fruit with seed in it according to their kinds. And God saw that it was good."
 
tena ni kisisimuo cha mwili kama kahawa
 
Naunga mkno hoja kwakuwa nina zaidi ya miaka 15 toka nianze kuvuta bangi na hakuna nilipokosea.
tena baada ya kuanza kazi nikaoa na kumuweka wazi mke wangu,alichoniasa nisivute katika vijiwe vya hovyo bali niwe nanunua na kuvutia nyumbani kwetu kwakuwa tuna nyumba kubwa na eneo la kutosha.
Nawakumbuka wengi niliosoma nao sekondari pale Forodhani ambao tulivuta pamoja na mpaka sasa kila mtu ana maisha yenye muelekeo mzuri sana na wote bado tunavuta.
 
Kichwa mimoshi nikipita wana wananiita kichwa cha treni. Sio ganja ni gun jah.bunduki ya mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…