S Selaa ze dodiii Member Joined Dec 19, 2011 Posts 11 Reaction score 3 Dec 27, 2011 #1 Jamaa mmoja fundi baiskel aliyekua na mke na mtot m1 2 afanya maajab usiku m1 n baada ya jamaa kuota usiku na kumchukua mtoto wake mchanga na kumdumbukiza ndani ya karai lilokua limejaa maji akijua ni tipu ya baiskel cjui alikua anaiotea kazi yake!
Jamaa mmoja fundi baiskel aliyekua na mke na mtot m1 2 afanya maajab usiku m1 n baada ya jamaa kuota usiku na kumchukua mtoto wake mchanga na kumdumbukiza ndani ya karai lilokua limejaa maji akijua ni tipu ya baiskel cjui alikua anaiotea kazi yake!