Bandugu tuwe tunaoga, kunasaidia sana

Bandugu tuwe tunaoga, kunasaidia sana

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
10,745
Reaction score
29,220
Wakuu niko Tabora huku kwa majukumu flani, ila samahanini kwa msg ndeefu ila nyie tiririkeni ivo ivo tu.
Sasa ikatokea kuwa kazi iliyopaswa niifanye huku haikufanyika kutokana na sababu za msingi tu so the whole day nikajikuta nimeboreka sana. Niakaona sio kesi sana nikauliza wenyeji wangu wapi panachangamka leo wakanitajia sehemu moja inaitwa Frankmann.

Ni kiwanja ambacho kinabamba kwa huku Tabora, na kipo jirani na sehemu niliyofikia hapa manchester lodge (though mm ni real gooner/asenali aka cazo walcot per ozil ramsey near van magoli wa zamani plus new sanchez chambers debuch, Japo bado tunahitaji straika sababu giroug kaumia).
Kufika hapo maeneo ni kweli palichangamka sana kiasi kwamba hata meza zimejaa. Nikabahatisha meza moja ila ilikuwa na wadada wawili but kwa vigezo vyangu kiukweli ni wabaya mno(God your merce plz coz I'm abusing someone here). OK nikakaa lakn tukawa hatuna story, Wao wanatupia monde ile bandika bandua nikaona isiwe shida na mimi nikaanza mdogo mdogo mpaka ikawa mkubwa mkubwa,

Maji ya ilala hayadanganyi si tukaanza salaam, mara majina, mara foni namba mara tuhameni twendeni mkapaone nilipofikia. Halafu kuna mmoja yule bonge bonge dizaini nilishamset sawa kwamba ndio wakumalizia nae siku (ugimbi huo halafu na hivi siuwezagi ndo nikamuaona anag'ara malaika mwenyewe atasubiri).

Tukajikokota wenyewe mpaka maeneo kwamba tayari kujisevia mgegedo.

Mungu alikuwa upande wangu sana, lakini pia nina kinyaa sana so tulipofika pale hotel nikatoa wazo tukaoge ili japo tuwe safi kimtindo, Ikawa poa ile kujimwagia maji hivi si ndio fresh memory ikanijia. Niaanza kushangaa huyu nani na amefikaje huku.

Ye ananimind mbona namzingua wakati tukishaelewana tena hadi bei. Sh ngapi ananiambia laki (per diem yangu ya siku mbili). Kumtazama vizuri hivi, hee nikati ya wale dada zetu dizaini ambao siwezi kumchukua hata bure au nyongeza (Mungu plz forgive me coz sijaowa na wala sijazaa bado).

Nikawa very gentlemen nikajifanya nimeshikwa na ngiri ghafla then nikamtoa na hela ya usafiri, akasepa.

MY TAKE: Yule nikahaba na anajiuza, Mwanzoni skupanga kumchukua lakini maji ya ilala yalinizidi maamuzi. Nisingeoga before walahi ilikuwa nichezee shilingi chooni, Muwe munaoga jamani sio mkitoka kwenye mambo yenu huko mnajiachia tu, mtawahi kufa kabla ya siku zenu.

Note: NImeandika saivi asubuhi coz ndio nimetoka kuachana naye.

Note 2: Mimi ssio mlevi ni leo tu na sitarudia tena
 
badilisha kichwa cha habari ndugu
 
Mkuu kwa borussia dortmund na Galatsaray tutatoka kweli??
 

MY TAKE: Yule nikahaba na anajiuza, Mwanzoni skupanga kumchukua lakini maji ya ilala yalinizidi maamuzi. Nisingeoga before walahi ilikuwa nichezee shilingi chooni, Muwe munaoga jamani sio mkitoka kwenye mambo yenu huko mnajiachia tu, mtawahi kufa kabla ya siku zenu.

Note: NImeandika saivi asubuhi coz ndio nimetoka kuachana naye.

Note 2: Mimi ssio mlevi ni leo tu na sitarudia tena

Haya madesa yamechanganywa vibaya, hata nashindwa nichukue lipi!

Umeshapiga Supu mkuu?
 
Nawaza pombe imekaa kichwani, naona speed ya dunia kuzunguka imeongezeka from 1°c to 10°c, ni maruweruwe mwanzo mwisho huko bafuni si unaweza kuanguka ukarudisha jezi kwa muumba???
 
Back
Top Bottom