Bando za internet halotel na Airtel

Bando za internet halotel na Airtel

isalyn

Member
Joined
May 7, 2017
Posts
36
Reaction score
12
Jamani samahani kwa usumbufu kwa ANAEJUA jinsi ya kupata mb nyingi kwa laini ya Airtel na halotel anijulishe
 
Airtel weka 1000 (buku) vocha, pga menyu ya *149*81# nenda namba 4, 1Gb kwa siku 3 sms 1000, dk 110, dk10 mitandao yote, dk 100 airtel to airtel.
 
Halotel piga *148*55# ujichagulie. Hiyo ni kwa laini za chuo,sijui kama ipo kwenye laini za kawaida
 
Airtel weka 1000 (buku) vocha, pga menyu ya *149*81# nenda namba 4, 1Gb kwa siku 3 sms 1000, dk 110, dk10 mitandao yote, dk 100 airtel to airtel.
Tatizo ni kua je unayopewa ki uhalisia ndio hiyo iliyoandikwa 1gb?
Isije ikawa wanakuambia wanakupa 1gb kumbe ya kwenye maandishi tu
 
Tatizo ni kua je unayopewa ki uhalisia ndio hiyo iliyoandikwa 1gb?
Isije ikawa wanakuambia wanakupa 1gb kumbe ya kwenye maandishi tu
Airtel siyo kama mitandao mingne wapo makini.

Kama menu yako inasapoti hyo kitu ya *149*81# namba 4 inakubari chagua namba 2 1Gb wateleza mpaka humalizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom