BANDIKO langu la 3000

Nilitarajia kukutana na bonge la insha!
mkuu si unajua mimi ni msanii huwa nakuja na innovative products like one above.

Ila it has been loong since mpaka kufikia hapa maana huwa nafikiriaga sana kabla ya kupost humu kwani najua kuwa nikiskip kidogo kuna wadau ambao fani zao hazina tofauti na viranja kwa kuwatilia unoko wenzao.

Nashukuru kwamba siku hizi Ban zimepungua na uhuru umeongezeka humu kiasi kwamba hata mimi naweza kumpiga makwenzi robot akaumia. lol

But
Thanks to you robot kwa kutupatia jukwaa lenye kila aina ya ladha na lenye changamoto nyingi zenye impact kwa jamii. THIS is JAMIIFORUMS kwa hakika and let it be
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…