Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,643
- 164,790
Sasa Mkulu si alijifanya masikini jeuri kwa kutamba kuwa waliokimbia kutumia bandari ya Dar ni wale wafanyabiashara wakwepa kodi na akawaambia kuwa waende kwenye hizo bandari za nchi nyingine zinazoruhusu mizigo kupita bila kulipiwa kodi?Hii ni habari katika gazeti la Mwananchi la siku ya leo tarehe 10/09/2016.
Chanzo:Star tv magazeti
Huwezi shindana na wenye hela..una uhakika gani hawalipi kodi?Sasa mbona tunarudi kwa Jakaya kuwapigia Magoti Wakwepa kodi?
Nadhani Ulishatabiri,Ebu uweke hapa ule uzi!Hii ni habari katika gazeti la Mwananchi la siku ya leo tarehe 10/09/2016.
Chanzo:Star tv magazeti
Baada kupatwa kwa jua,sasa ni kupatwa kwa bandari!