Infact zile tires za gantry crane ni 900kWhat!😱
Training to operate it takes years with a fee of 220k hio ni masters mzima pale K.u
Nicee..kenya hakuna mchezo ..updates..........
New equipment arriving
![]()
![]()
Ujenzi wa barabara ya bandari bado unaendelea.........
![]()
![]()
![]()
nafurahi mnavyoleta hivi vitu kwasababu mnamfanya magufuli achanganyikiwe afanye kazi kwa moyo wote, atawashughulikia tu kuna siku hamtaamini.
naona kuna floods
Wamekuita, umekuja wamekimbia! Hahahahaaassssnaona kuna floods
![]()
![]()
![]()
![]()
mombasa port is huge that just a small part. Mombasa port ni mara mbili dar kaka.Wamekuita, umekuja wamekimbia! Hahahahaaassss
Can you prove this! Au umeshiba chapoo maneno yana kutoka tumombasa port is huge that just a small part. Mombasa port ni mara mbili dar kaka.
who told you???😀😀😀😀mombasa port is huge that just a small part. Mombasa port ni mara mbili dar kaka.
Ila bandari yetu Jamani hali mbaya Sana
huyo anaongea pumba tu hajielew😀😀😀Can you prove this! Au umeshiba chapoo maneno yana kutoka tu