msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,734
Waungwana wiki nzima hii nimeshuhudia kapuni moja ya Logistics ya Kenya ( nafikiri) wakipitisha hapa Uganda yale magari makubwa ya kubeba magari mengine ( sijui yanaitwaje kitaalamu) yakiwa yamebeba gari nyingi mpya za aina ya Land Cruiser. Inaoneneka magari haya yanakwenda nchi jirani na sisi ( kati ya Rwanda, Burundi, au hata DRC sina uhakika) maana hata mwenyeji wangu pia hakuwa na jibu sahihi. Ndio nikawa najiuliza gari kupitia Mombassa kwenya Burundi au Rwanda , na hata Congo ni karibu kuliko kupitia kwetu? yaani bandari ya Dar? nauliza tu
asante sana
asante sana