Bandari ya dar es salaam

Bandari ya dar es salaam

curiously

Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
15
Reaction score
1
Mh. Mwakyembe bado kuna tatizo ktk katika bandari ya dar es salaam, unaagiza mzigo unalipia kila kitu unapotaka kuutoa unazungushwa zungushwa tuu mara utaskia eti wakaguzi hawapo eti uje j3 na hapo mtu umeshakaa karibu week nzima ukihangaikia kutoa mali yako!inaudhi sana kwakweli!
 
TRA ndio wanarudisha nyuma utendaji wa bandari yetu. Wanauziwa software na wahindi uchwara wa mjini matokeo yake kunakuwa na network failures kila siku...unaweza suburi zaidi ya saa 7 ndio network inarudi.

Pia hao wakaguzi wanaringa mpaka uwatafute kwa simu na uwape posho la sivyo mzigo wako unalala wakati wengine wanachomoa mizigo tu.

Ni Tanzania pekee rushwa imehalalishwa kupata haki yako. Ndio maana inadaiwa kwa nguvu na mtoaji anatoa tu huku anakenua meno kwa roho safi.
 
Kamishna mkuu. mbona kuna watu kompetenti na devoted wengi tu hapa Tz. kwa nini unakumbatia wafanyakazi hasa bandarini wanaotia taifa aibu. Kazi hawajui lkn ukitaka akague mzigo wanajivuta kama ... wanakwenda kukagua maiti. muda wote wako wanachati kwenye simu. hivi TRA kuna viongozi au ni nini mbaya na TRA
 
Bossman, Mwakyembe huwa anapita humu. Nina imani amewasikia na atafanya follow up
 
Yuko kijana mmoja seneta wa yanga alikua TRA anakaa tabata Dar. jina limenitoka kidogo. enzi hizo yuko TRA alikua anakunywa heineken. leo hii amechoka anabom hadi mnazi. maringo ya nini vheo ni dhamana.
 
Mwakyembe hahusiki na TRA ndio maana TRA kuna pwaya. Hii wizara angekamata bossman Mwakyembe au Magufuli au Lowasa mngeweza kunikonvinc kwamba big rizalt inawezekana. lkn kwa sasa tulie tu

tra naona wapo wizara ya fedha,uko ccm hawataki kuweka mtu mkali kama magufuli kwa sababu atawaumbua
 
Mwakyembe hahusiki na TRA ndio maana TRA kuna pwaya. Hii wizara angekamata bossman Mwakyembe au Magufuli au Lowasa mngeweza kunikonvinc kwamba big rizalt inawezekana. lkn kwa sasa tulie tu
Hata mheshimiwa (JK) nasikia huwa anapita sana humu kujua kero za wananchi wake. Nina imani atalifuatilia hili.
 
...TRA ni vimeo vitupu! ndiyo maana Blandina Nyoni karudishwa huko!
 
Hata mheshimiwa (JK) nasikia huwa anapita sana humu kujua kero za wananchi wake. Nina imani atalifuatilia hili.

usikute JK nae anachangia humu na ww unamchalenji. Tuache mitusi jama mei bi hata mtoto wa mkulima usiku akimaliza kula ugali na dagaa huwa anachungulia kabla hajasali na kulala.
 
watanganyika bwana! Hii serikal mliichagua wenyewe 2010 mkidai ni xikivu na makini, xaxa kelele za nini? Tatizo lenu watanganyika mnataka kuvuna mihogo kwenye shamba la miwa.
 
Yuko kijana mmoja seneta wa yanga alikua TRA anakaa tabata Dar. jina limenitoka kidogo. enzi hizo yuko TRA alikua anakunywa heineken. leo hii amechoka anabom hadi mnazi. maringo ya nini vheo ni dhamana.
Huyo Jerry nini maana ndo alikua Yanga sana!!!na alikua TRA!!!teehteehteeh.
 
Back
Top Bottom