Bandari kwafumuliwa

Bandari kwafumuliwa

Ngoja tuone,nasikia waliopelekwa pale wrote ni suti nyeusi
Itasaidia sana maana taarifa zitapenya moja kwa moja mpaka kwa mkuu, hakutakuwa na "wapiga dili" si unajua Tanzania hii kila kitu dili!!
 
Fukuza, timua, pindua, weka huyu, ondoa yule, mwaka ukaisha. wa Pili, mchezo ule ule
 
Waajiri makada, wanaijua ilani ya chama vizuri na ndiyo inayotekelezwa.

KADA
 
Habari njema kwa wapenda mabadiliko. Bandari inabidi kusafishwa kabisa.
 
This is more than serious...mpaka makada wanasambaratishwa?
 
Back
Top Bottom