Banda Umiza

Soko lipo sana ila inategemea utauza nini kingine cha ziada, ukiingia kichwa kichwa tu utafilisika very fast. Siku hizi vibanda umiza vina huduma za pembeni kama vinywaji, chips n.k Mechi zenyewe sasa hivi hadi DSTV app watu wanazo kwenye simu, kwahiyo siri ni kujua namna utakavyoweza kuwateka wakae hapo watumie pesa zao.
 
Hela yako wekeza kwenye kilimo na ufugaji, huko kwingine utashtukia umezeeka na ujuaji wako wa kuwajua wachezaji wote wa Yanga huku ukiwa huna kitu. labda kama una miradi mingine.
 
Sisi madogo tulijua banda umiza na kulipenda kupitia Lufufu mwana wa mkandala.! 😎

Inaanzaje mtu kupenda banda umiza bila movie za Bolo yanki na vandame.!

Blood moon.. Eti.!

Sobibo on momeniam. 🤗
 
Yanalipa, fungua maeneo ya wanachuo ambako hakuna bar kubwa karibu kama dom
 
Hela yako wekeza kwenye kilimo na ufugaji, huko kwingine utashtukia umezeeka na ujuaji wako wa kuwajua wachezaji wote wa Yanga huku ukiwa huna kitu. labda kama una miradi mingine.
Kilimo cha matikiti kikiwa kwenye karatasi kina lipa sana!..
Lima wewe sasa!!!.
 
Kilimo cha matikiti kikiwa kwenye karatasi kina lipa sana!..
Lima wewe sasa!!!.
mimi nalima mkuu,ndio maana nimekushauri uwekeze kwenye kilimo. Na sikuwa na nia mbaya maana umenijia juu.
 
mimi nalima mkuu,ndio maana nimekushauri uwekeze kwenye kilimo. Na sikuwa na nia mbaya maana umenijia juu.
Hapana mkuu, nimetania
Hata mimi ninalima, laki inaweza sio kwa kiasi chako, mimi bado niko chini kdgo.
Bythe way. Ahsante sana. Much appreciate 👍🏾 ☺️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…