king herode
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 370
- 579
Za asubuh wadau, kwa wale wapenda michezo hususani mpira,, nilikuwa naomba mwenye sehemu ya wazi au banda linalofaa kwa ajili ya kuoneshea mpira tuwasiliane kwa namba 0715058481 niweze kukodi hama kulinunua. Ni kwa dar na pwani tu