Last sentinel
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 277
- 113
😏😏Pamoja na hizo friji utapata mteja... vinginevyo sijui 😆
maelewano beikwa hilo banda huwezi pata laki tano..
sioHivi ni utani ama....
Kodi ya kila mwezi ni kiasi gani kwa mwenye eneo lilipo banda?Helw JF,banda linauzwa laki 5.Lakin halina kitu chochote,umeme upo.Kwa hyo kama unataka kuanza biashara unakuja na vitu vyako,kwa mawasiliano piga 0759-124378,eneo,njeteni karibia na shule ya dar es salaam girls mbezi ya kimara.
View attachment 3330227
elf 15Kodi ya kila mwezi ni kiasi gani kwa mwenye eneo lilipo banda?
haahah acha us*Achen utani