Mpeni sifa Yesu
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 646
- 130
Wajameni, nina banda lipo Lufungira, lina vyumba 9 na lina wapangaji, ninaliuza, kwa ambaye yuko interested, tuwasiliane ili nimpeleke akapaone na tufanye biashara. bei ni 48m mwisho 45m. whoever is interested, tuwasiliane tufanye biashara. ni zuri kwa kujenga nyumba ya biashara, lodge etc. karibuni waheshimiwa.