Mledi haswa
Senior Member
- Jan 17, 2013
- 161
- 172
Banda la chakula , chipsi na vyakula vingine linauzwa , lipo (SAUT) malimbe kwa masha karibu na hostel ya south village , lina vitu vyote vya kupikia na mabenchi ya kisasa , liko sehemu nzuri sana , usimamizi unakua mgumu hivyo namaliza likizo na sintoweza kusimamia , bei ni 1.9 mil. Ni kubwa wanaweza kukaa watu mpaka 20 , pia unapewa na store , ina chumba na sebule , nicheki 0783761235 , ofisi ni yangu hakuna udalali. Ahsanteni na karibuni.
View attachment 1664890
View attachment 1664890