Hii midude mibaguzi sana huwa nashangaa sana watu wanaowatetemekea wazungu.Huyu Mama angejiuzulu tu,kuliko kuwa na sifa ya kuwa Waziri huku ukinyanyasika.

Hata huyo Kikwete wako hastahili kuwa hapo!Mwafrika halisi ajiulu. Hebu angalia dr SLAA pamoja na kashfa zote hajawahi kuwaza kujiuzulu.
Italy ni nchi inayoongoza kwa ubaguzi wa rangi kwa nchi za Ulaya. Kwa waliowahi kuishi Italy nadhani watakubaliana na mimi.
Tibaa
mfano tu, myarwanda, aje aombe uraia afu tumpe uraisi? Inahitaji roho ya mwenda.wazimu.
wataliano hawana adabu, kwanza wameharibu sana vijana wa zanzibar
Wamewafanyaje?