Professor Mama Tibaijuka. 1.6bn ni mchango mkubwa unaovunja rekodi ya kuchangia shule kwa historia ya Tanzania. Tena shule moja tu, mali yako. Nadhani ungejikalia kimya tu upepo upite. UN hakuna mianya ya kuiba,wala usijisifie kuwa hukuiba shauri ya uadilifu, ni kuwa hukuweza. Unapewa 1.6bn just like that halafu hujiulizi mbona hizi nyingi hivyo?. Rugemalila humjui?Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, bwana Ban Ki-moon amemshangaa mama Tibaijuka kutokana na kashifa zinazomkabili.
Kwa wasiofahamu, waziri Tibaiujka aliwahi kufanya kazi chini ya Ban Ki-moon akiwa kama Mkurugenzi wa shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika makazi, UN Habitat.
CHANZO:Magazeti Channel 10.
Kwa maoni yangu kwa haya maneno huyu mama anamdhalilisha Ban Ki-moon pia kwani kwa maelezo haya ni kama Ban anabariki wizi kitu ambacho sidhani kama sahihi!
Kwa maoni yangu kwa haya maneno huyu mama anamdhalilisha Ban Ki-moon pia kwani kwa maelezo haya ni kama Ban anabariki wizi kitu ambacho sidhani kama sahihi!
Utakua mhaya ww, lakini ucjali nimekuweka kwenye 1%Mkuu ufanyia tathimini mahususi hili pandiko lako?? Maana ukisema wahaya 99%, mmm fanya upya ukokotoaji mkuu..
Mchunguzeni zaidi huko UN aliondoka Kwa Matatizo na siyo hiyariSidhani kama Ban kimoon anaweza kumuonea huruma mtu ambaye amefanya kazi UN na anajua sheria za UN zilivyokali kuhusu UADILIFU wa mfanyakazi wao awapo kazini, likizo na hata kiretire.Mama yetu huyu amechemka, na asiaingizie wivu wa NEC nk nk.Ajilaumu mwenyewe, ajue shule ya darasani haitoshi lazima ajue na shule za.mitaani, matapeli nk nk.Mjini shule.
Mchunguzeni zaidi huko UN aliondoka Kwa Matatizo na siyo hiyari
I concur mkuu! Kunapokuwa na transfer ya ownership ya asset yeyote si cash peke yake, ardhi, gari etc lazima kodi ilipwe na mmiliki mpya. So hata kama ingekuwa pesa safi huyu mama alipaswa kulipa income tax. Bahati mby ni ya wizi so aturudishie pesa yetu yote mapema sana!
Hamna kitu mafisadi walimfunga pingu long time ago, remember statements on Palm beach plot and return of empty spacesInabidi kwa sasa wanasiasa wetu wawe waangalifu maana na hofu mwisho wa siku tutaibariki au kuihalalisha RUSHWA,HONGO na UFISADI kwa kielelezo cha kulipa KODI
SIMBAMTOTO namshangaa sana huyo dada yangu, kama kiongozi kwa nini usichunguze fedha zimetoka wapi??
Rugemalira kazipata wapi, with all the security services at her disposal??
Huwezi kudanganya watu kwamba hukujua, kama ni hivyo azirudishe hazina maana ni za wizi!!
Ushauri wa Mwigulu eti wazilipie kodi sikubaliani nao, let these guys surender the Govt money, it was stolen from the Govt cofers period!!
Walitoa huduma gani hadi walipwe hivyo??
Wamepokea fedha za wizi ni wezi pia!!
Hamna kitu mafisadi walimfunga pingu long time ago, remember statements on Palm beach plot and return of empty spaces